GARI LATEKETEA KWA MOTO NA KUTELEKEZWA PEMBEZONI MWA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI, MOROCO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/gari-lateketea-kwa-moto-na-kutelekezwa.html
Gari
lenye namba za Usajili T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika
barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo
eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari hilo ambalo kwasasa huwezi
kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na kupelekea kuwa kivutio
kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia wakiliangalia gari
hilo lililoteketea kwa moto.
Wapita
Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya
Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya
kuongozea magari
Kijana mpita Njia akilipiga picha