Flatnews

Mabibi na mabwana… single ya @Victoria_Kimani ft. Diamond na Ommy Dimpoz imetoka

Headlines zake sio nyingi sana Afrika Mashariki ila zimekua na uzito kila zinapotoka ambapo this time kaachia single yake ft. Diamond...


victoria kimani
Headlines zake sio nyingi sana Afrika Mashariki ila zimekua na uzito kila zinapotoka ambapo this time kaachia single yake ft. Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.

Victoria Kimani atapita hapa usiku wa saa tano na nusu kusoma maoni yaliyoandikwa na watu wake so ukiwa na chochote cha moyoni baada ya kuisikiliza hii single usisite kumuuandikia mtu wangu.

Post a Comment

emo-but-icon

item