MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/matukio-katika-picha-bungeni-leo-mjini.html
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni. (Na Mpigapicha Wetu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Urambo na Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma
May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum,
bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbili May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)