HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/hasheem-thabeet-na-mchumba-wake-bee.html

Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini la
Oklahoma,
Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita
amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani
anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen