HIVI NDIVYO Nyoka alivyo toka ndani ya begi kwenye daladala watu wachanganyikiwa
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/hivi-ndivyo-nyoka-alivyo-toka-ndani-ya.html
Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake.
Mzee mmoja wa kiswahili kando yake akaanza kuangalia dogo anaandika nini.
"Yule nyoka uliyenipa inakaa hujamtoa
meno ya sumu,hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka,sijui
nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka ataleta taabu coz niko ndani ya
matatu."...
Dogo
alipoona mzee anababaika akachukua begi na kumrushia...Mzee akaruka
dirishani fasta huku akipiga kelele,"Mamaae nyokaaaaa!....nakufa mieee!
Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni.
