Flatnews

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASALIMIANA NA VIONGOZI WA MOROGORO

  Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mj...


index 
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Related

NEWS 4227381622974797364

Post a Comment

emo-but-icon

item