Flatnews

T.B Joshua Akutana na UKAWA Kwa Lowassa

Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa...


Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe,  James Mbatia pamoja na mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo maalum.
                          
 

Related

NEWS 8301731266592945529

Post a Comment

emo-but-icon

item