Flatnews

tAZAMA Video Ya Hotuba Nzima Ya Rais Magufuli Aliyoitoa Jana Bungeni

Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo.


Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo.

Marais Wastaafu, kutoka kushoto ni Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar,Amani Karume.
Rais wa Zanzibar akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi.
Video  Ya  Hotuba  Nzima  Ya  Rais  Magufuli  Aliyoitoa  Jana  Bungeni

Related

NEWS 7027367765609068693

Post a Comment

emo-but-icon

item