Flatnews

Dk Shein atembelea miradi ya maendeleo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Kaimu Mkurugenzi...


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini, [Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimuuliza suala Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia   Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini, [Picha na Ikulu.]  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo ya ramani ya ujenzi wa Mtaro wa maji ya Mvua katika viwanja wa mnazi mmoja kutoka kwa Mhandisi wa Manispaa ya Zanzibar Mzee Khamis Juma wakati alipotembelea mradi huo wa ujenzi unaojengwa na kampuni ya CRJ kutokaChina,{picha na Ikulu.

Related

NEWS 5398835091287793784

Post a Comment

emo-but-icon

item