Flatnews

BAYERN YAENDELEA VIPIGO, LEO ZAMU YA OLIMPIAKOS YA UGIRIKI.

                            Bayern Munich bado kiwembe asee! Imeikong’ota Olimpiakos ya Ugiriki kwa mabao 4-0 katik...


                           
Bayern Munich bado kiwembe asee! Imeikong’ota Olimpiakos ya Ugiriki kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Sasa ina uhakika wa kila kitu katika hatua ya mtoano na shukurani zinaenda kwa Douglas Costa, Robert Lewandwski, Thomas Muller na Kingsley Coman.



Related

SPORTS 5490561990547433434

Post a Comment

emo-but-icon

item