Flatnews

ARSENAL MWENDO MDUNDO ULAYA, YAICHAPA DINAMO 3-0 LIGI YA MABINGWA ULAYA

                            Kama ulidhani Arsenal imelala Ligi ya Mabingwa Ulaya, basi ulijidanganya, maana imeitandika Dina...


                           
Kama ulidhani Arsenal imelala Ligi ya Mabingwa Ulaya, basi ulijidanganya, maana imeitandika Dinamo Zagreb kwa mabao 3-0.


Ikiwa nyumbani Emirates jijini London, Arsenal imeibuka na ushindi huo wa mabao manne yaliyofungwa na Mesut Ozil, Alexis Sanchez aliyefunga mawili.

Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Cazorla, Campbell, Ozil, Sanchez, Giroud.
Subs: Ospina, Debuchy, Gibbs, Gabriel, Ramsey, Chambers, Reine Adelaide.
Dinamo Zagreb: Eduardo, Ivo Pinto, Sigali, Taravel, Matel, Paulo Machado, Goncalo, Antolic, Pjaca, Rog, Fernandes.
Subs: Mikulic, Soudani, Musa, Sovsic, Henriquez, Pavicic, Coric.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)









Related

SPORTS 1149332928460101860

Post a Comment

emo-but-icon

item