Flatnews

Barnaba ajipanga kuvamia soko la muziki Kimataifa

Nyota wa muziki wa RnB nchini, Barnaba anatarajia kuingia rasmi katika s...




Nyota wa muziki wa RnB nchini, Barnaba anatarajia kuingia rasmi katika soko la muziki Kimataifa kwa kuutumia wimbo wake mpya aliomshirikisha nyota kutoka Uganda, Jose Chameleone unaoitwa ‘Nakutunza’. Barnaba ambaye amepanga kuachia audio ya wimbo huo leo Nov 09, 2015 amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na ukweli kwamba hata yeye anauogopa wimbo huo hivyo anatakiwa kujipanga ili kufanya video kubwa ya kimataifa.
Barnaba ameongeza kuwa wimbo huo ni mkubwa sana kwani ni collabo yake ya kwanzaa kubwa kufanya tangu aanze kufanya muziki hivyo atatumia nafasi hiyo kuupeleka muziki wake katika soko la Kimataifa.
Aidha Barnaba amesema video yua wimbo huo itafanyika nje ya nchi ikiwa ni katika hali ya kutafuta utofauti kati ya video hiyo na video zake za mwanzo.

Related

ENTERTAINMENT 2086251348663581137

Post a Comment

emo-but-icon

item