Maalim Seif: Watanzania acheni uoga,pigeni kura na mlinde kura zenu
Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Maalim Seif Shariff ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/10/maalim-seif-watanzania-acheni.html
Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Maalim Seif Shariff Hamad akihutubia katika kufungwa kwa kampeni za UKAWA
Ameyasema hayo mapema leo wakati akihutubia maelfu ya wananchi waliokuwa wamefika kushuhudia kufungwa kwa kampeni za vyama vinavyounda umoja wa UKAWA.
Pia alidai kushangazwa na kitendo cha Rais Kikwete kuwateua makatibu wakuu na kuwaapisha leo angali muda wake wa kuwa madarakani umekwisha.
Pia alimtaka Rais Kikwete kutokuleta mgogoro kati ya wananchi na majeshi yetu kwani yakitokea machafuko na watu kuuwana msalaba huo.
“Haiwezekani damu imwagike alafu yeye astaafu salama lazima atahusika tu,pia napenda kuwa shauri wanachi wasivae nguo za chama wakati wa kupiga kura,”amesema Seif
