Haji Duni agundua janja ya CCM,waliopangwa kuchakachua matokeo watajwa
Mgombea Mwenza wa CHADEMA chini ya UKAWA,Haji Duni Mgombea Mwenza wa C...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/10/haji-duni-agundua-janja-ya.html
Mgombea Mwenza wa CHADEMA chini ya UKAWA,Haji Duni
Ameyasema hayo mapema leo wakati wa kufunga kampeni kwa vyama vinavyounda umoja huo zilizofanyika katika viwanja vya jangwani jijini Dar es Salaam
Duni amesema kuwa CCM imetayarisha wataalam wawili ambao watafanya kazi hiyo na kwamba UKAWA watajitahidi kuweka kumbukumbu iliyosahihi ya matokeo ya kura zao zote ili kuepusha wizi unaotaka kufanywa.
Ameongeza kuwa kila wakala lazima apatiwe nyaraka ya matokeo ya kura iliyotiwa saini,
Aliwataja wataalam hao kuwa ni Mr Mkanyanga na Sesy Francis ambao ndio wamekabidhiwa kuiba kura katika kituo cha Kurasini karibu na makao makuu ya uhamiaji.
“Wakileta mchezo tutawaambia wananchi wakakizunguke alafu tutaona kama hodari ni Rais Kikwete au wananchi …..Kikwete umeambiwa ukabidhi nchi kama ulivyopewa kwa amani na akuna Jeshi linaloweza kupiagana na umma,”amesema Duni.
