RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Ta...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/08/rais-aagana-na-balozi-wa-uturuki-nchini.html
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi
Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi
Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa
Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker baada ya kumwelezea kuhusu kadi ya MASTERCARD ambayo
ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati
kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaamleo Agosti 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker pamoja na maafisa wa benki hiyo.





