Waziri Mkuu, Mizengo Pinda APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baad...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/waziri-mkuu-mizengo-pinda-apokea.html
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati
aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda
mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu
Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.