MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania,...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/makamu-wa-rais-dkt-bilal-aagana-na.html
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi
wa Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati Balozi huyo
alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 16,
2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa
Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai
16, 2015 alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.