UTIAJI SAINI WARAKA WA MAADILI YA UCHAGUZI KWA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR
Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/utiaji-saini-waraka-wa-maadili-ya.html
Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi
la zanzibar Salum Mwalim akielezea maswala mbalimbali kuhusiana na hali
ya Usalama kuelekea katika Uchaguzi mkuu katika hafla ya utiaji Saini
waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palas Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa vyama vya
Siasa waliohudhuria katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya
Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palas Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya
ZEC Nassor Khamis Mohammed akifafanua baadhi ya mambo katika hafla ya
utiaji Saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand
Palas Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa ATC-Wazalendo
Juma Said Sanani akitia saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama
vya Siasa Grand Palas Zanzibar.
Mwakilishi wa CCM Hafidh Ali akitia saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palas Zanzibar.
Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi
la zanzibar Salum Mwalimakitia saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa
vyama vya Siasa Grand Palas Zanzibar.