Flatnews

Platnumz ataja wasanii watatu wa Kenya anaotaka kufanya nao kazi

Kwenye interview aliyofanyiwa na Mzazi William Tuza, Diamond Platnumz amesema wasanii wa Kenya ambao tayari anamipango ya kufanya nao kaz...


Diamondz
Kwenye interview aliyofanyiwa na Mzazi William Tuza, Diamond Platnumz amesema wasanii wa Kenya ambao tayari anamipango ya kufanya nao kazi ni  Jaguar, Collins Majale na Chikuzee.

Diamond aliendelea kusema hivi karibuni kuna kazi kubwa na msanii wa Kenya itatoka na kufanya vizuri Afrika Nzima.
jaguar
Jaguar
Chikuzee
Chikuzee
collo
Collo

Related

ENTERTAINMENT 5405273295420268516

Post a Comment

emo-but-icon

item