ROBINHO AUFATA MKWANJA KWENYE LIGI YA CHINA
Mpira pesa kila siku hili neno linazungumzwa, club za China zinaona fursa kubwa ya kufanya biashara na makampuni mbalimbali ambayo yap...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/robinho-aufata-mkwanja-kwenye-ligi-ya.html
Mpira pesa kila siku hili neno linazungumzwa, club za China zinaona fursa kubwa ya kufanya biashara na makampuni mbalimbali ambayo yapo China kwenye soka. Sasa wanachokifanya ni
kuleta majina makubwa ndani ya ligi ya China ili kuongeza ushabiki na kuiweka ligi yao kwenye ubora wa kimataifa.
Hivi sasa club ya Guangzhou imemsajili mchezaji Robihno ambae amewai kucheza club ya Manchester city. Club hii pia inanolewa na kocha mzoefu Filipe Scorali. Robihno alikua anahusishwa sana na kujiunga na club ya
huko Abu Dhabi ainaitwa Al Jazira.
Ukitaka kuona fursa kubwa ya kibiashara kwenye club ya China unaweza kuona kwamba Shanghai Shenhua pia wanalipa $14.5 million kwa Besiktas ili kumpata mchezaji wa Senegal Demba Ba.