MAREKANI WANASEMA MESSI NI BORA ZAIDI YA CR7 KWENYE HIZI TUZO
ESPY awards ni tuzo kubwa za michezo huko Marekani ambapo zinahusisha wanamichezo mbalimbali. Lionell Messi na Cristiano Ronaldo walij...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/marekani-wanasema-messi-ni-bora-zaidi.html
ESPY awards ni tuzo kubwa za michezo huko Marekani ambapo zinahusisha wanamichezo mbalimbali. Lionell Messi na Cristiano Ronaldo walijikuta kwenye kipengele kimoja wakigombania tuzo moja ya Best International Athlete. Kwenye hiyo category pia kulikua na wanamichezo Djokovic mcheza tennis,mcheza golf Lydia Ko na dereva wa formula 1 Lewis Hamilton.
Messi amewashinda wote kwa na kupata tuzo hii kutokana na mafanikio yake ya msimu ulipita ambapo ameisaidia timu yake ya taifa kufika fainali na club yake kuchukua vikombe mbalimbali. Tuzo hizi zinatolewa huko Marekani na wachezaji wengine wa kimataifa wakua kwenye vipengele vya internationl kama hivi.
Watu wengi wanasema hivi ndivyo itakavyokua kwenye Ballon d’Or inayofuata kutokana na Messi ku-perform vizuri zaidi ya Ronaldo kwenye msimu uliopita