Flatnews

Uwanja wa Mashabiki: Riyama Anakipaji Sio Ngekewa

“Yani Riyama  dah. ..kiukweli katika top 5 zangu za bongo movie basi huyu nanafasi yake ktk hiyo top 5

Uwanja wa Mashabiki: Riyama Anakipaji Sio Ngekewa
“Yani Riyama  dah. ..kiukweli katika top 5 zangu za bongo movie basi huyu nanafasi yake ktk hiyo top 5

huyu ana kipaji na sio ngekewa wallah tena ni hatariiii u know.
aki uvaa uhusika unaona kweli huyu ni kiboko anajua ku act na yuko serious na anachokifanya
huwa najiuza ile movie alio cheza kama chizi ni yeye au kalogwa  kama chizi kweli
akicheza kulia analia mpaka kamasi linamshuka misha analilamba shikamo damwani
By Matikibokoyao

Hii ni safu mpya, inatoa fursa kwa mashabiki wa filamu za hapa nchini kusema chochote kuhusu tasnia hii ya filamu. Tuandikie ujumbe (message) kwenye ukurasa  wetu wa facebook, Kisha tutaileta hapa, vigezo na masharti kuzingatiwa.

Related

Riyama 2231097285188859221

Post a Comment

emo-but-icon

item