Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kash...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/02/raymimi-na-kanumba-tulikuwa-tunaitwa.html
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.
“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema hiii?”. Ray alimaliza.
Hebu tutiririke hapa wale tunaoikumbuka hii.