Flatnews

Picha,Jibu la Kim Kardashian kuhusu watu anaotaka kupiga nao SELFIE, utashangaa.

Kim k ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za...



640_kim_kardashian_marilyn
Kim k ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za SELFIE.

Kwenye kujibu maswali machache ya mashabikki wake Kim K aliulizwa kama angepata nafasi ya kuchagua mtu tofauti wa kupiga naye Selfie Kim alijibu
My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua
kim k

Related

EVENTS 5753393493996484549

Post a Comment

emo-but-icon

item