Flatnews

Mtazamo wa Young Thug Kuhusu kufata nyayo za Jayz na maisha kama Bill Gates.

Msanii wa Young Money Young Thugger amezungumza na jarida la GQ Na kusema hafati nyayo za msanii mkubwa wa hiphop Jayz.


thug
Msanii wa Young Money Young Thugger amezungumza na jarida la GQ Na kusema hafati nyayo za msanii mkubwa wa hiphop Jayz.

Interview hii ni miongoni mwa interview kali za wasanii wakubwa kwenye muziki mwaka 2014 kuelekea 2015 kama Rickross, Future, Nas na Pharrell.
Young Thug alifahamika baada ya kupata dili la kurekodi kwenye lebel ya Gucci Mane 2013 iliyoitwa Brick Squad Records.
Young Thug ’23’ alisema “Sitaku kufanya rap mpaka nikiwa na miaka 50 ila nataka kuwa tajiri maisha yangu yote, Jayz anamiaka 45 sasa, mimi siwezi kununua cd yake ata kama najua ndio msanii mwenye mistari mikali zaidi kwenye hiphop, miaka yetu ni tofauti sana, naamini ata jay z hataki kufanya muziki sasa

Post a Comment

emo-but-icon

item