Flatnews

Inasemekana kua Hii ni moja ya sababu kubwa za Diamond kuwapagawisha zaidi ‘ma girlfriends’ zake ! Ipo Hapa

  Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho h...



Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.

Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike.

Related

ENTERTAINMENT 7881908388765998287

Post a Comment

emo-but-icon

item