Flatnews

Baada ya picha 'tata' za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu kuzagaa mtandaoni haya ndio maneno ya Ommy Dimpoz

Siku mbili zilizopita mitandao ya kijamii kupitia Instagram, Facebook, Blogs na wakati mwingine Twitter kumekuwa na story ambazo zi...



Siku mbili zilizopita mitandao ya kijamii kupitia Instagram, Facebook, Blogs na wakati mwingine Twitter kumekuwa na story ambazo zimeongelewa kwa kila namna kuhusiana na
msanii wa nyimbo za Bongo Fleva Ommy Dimpoz kuonekana wapo bafuni na picha nyingine kitandani wakiwa na Wema Sepetu ambazo zimezua utata kuwa yawezekana labda wakawa ni wapenzi na wengine wakisema 'Project' inaendelea.

Ila masaa 18 yaliyopita msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameshare picha akiwa na Wema Sepetu huku akiandika maneo kuwa "Inzi kufa kwenye kidonda............", Maneno ambayo wengi wameshindwa kupata maana halisi ambayo ipo kati yao.

Related

wema sepetu 7852158515781811713

Post a Comment

emo-but-icon

item