Wolper:Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kuishi Utakavyo!!!
https://samchardtz.blogspot.com/2015/01/wolpermwaka-2015-ni-mwaka-wa-kuishi.html
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper” akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi, aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;
“ 2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu 205678 ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana”