Flatnews

MH. LIPUMBA ALIPO FIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikish...


Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF. 
Kwa hisani ya Father Kidevu Blog

Related

H/KITAIFA 1319419794252752163

Post a Comment

emo-but-icon

item