MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 28,2015
Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015.
https://samchardtz.blogspot.com/2015/01/matukio-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Anna
Abdallah (kulia) na Mary Mwanjelwa kwenye jengo la utawala la Bunge
mjini Dodoma.
Mbunge
wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) na Mbunge wa Mji Mkongwe
Ibrahim Sanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 28, 2015.(Picha zote na
Ofisiya Waziri Mkuu)