VIONGOZI NA WAJUMBE WA ALAT MKOA WA KATAVI WAFANYA KIKAO MJINI MPANDA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/viongozi-na-wajumbe-wa-alat-mkoa-wa.html
Katibu
wa ALAT Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Mpanda Estomih Changa’h akifafanua jambo kwa wajumbe wa kikao
hicho hawapo pichani.
Mwenyekiti
wa ALAT Mkoa wa Katavi na Mwenyekiti wa Halamshauri ya Mlele Wilbrod
Mayala akifunga kikao cha wajumbe wa ALAT Mkoa wa Katavi kwenyeukumbi wa Mkuu wa Mkoa Katavi Mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti
wa Halamshauri ya Mji wa Mpanda Enock Gwambasa akiwakaribisha wajumbe
kwenye kikao cha ALAT Mkoa ambapo Halmashauri ya Mji wa Mpanda walikuwa
wenyeji wa kikao hicho.
Wajumbe
wa Kikao cha ALAT Mkoa wa Katavi wakifuatailia hoja zinazojadiliwa
kwenye kikao hicho kwa maendeleo ya Halamshauri zao wakwanza kushoto ni
mweka Hazina wa Halmashauri ya Mpanda ambaye pi ni mweka Hazina ALAT
Mkoa,anayefuatia ni mkurugenzi wa Halamshauri ya Nsimbo Rashid Neneka na
anayefuata ni Mwenyekiti wa Halamshauri ya Nsimbo Mohamed Assenga.
(Picha zote na Kibada kibada Afisa Habari wa Wilaya Halmashauri ya Mpanda