Liverpool yamsajili Divorc Origi
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/liverpool-yamsajili-divorc-origi_46.html
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool.
Baba yake Origi, Mike Okoth, ambaye ni mchezaji
wa zamani wa timu taifa ya Kenya Harambee Stars amethibitsha mwanawe
Divorc amesaini mkataba na Liverpool ambao walifurahishwa na mchezo wake
mzuri alipoiwakilisha Ubelgiji kwenye kombe la dunia.