TAZAMA PICHA ZA MH.RAIS KIKWETE ASALI SWALA YA IDDI DAR ES SALAAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El ...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/tazama-picha-za-mhrais-kikwete-asali.html
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika
mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika
mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Baadhi
ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika
masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)