RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MAHAFALI YA KOZI YA PILI YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TAASISI MALUUM UTOAJI MAFUNZO YA USALAMA WA KITAIFA NA KIMATAIFA
Profesa ibrahim lipumba akisalimiana na mkuu wa majeshi ya ulinzi David Mwamunyange wakati wa mahafali ya pili ya chuo cha jeshi ...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/rais-jakaya-kikwete-ahudhuria-mahafali.html
 |
Profesa
ibrahim lipumba akisalimiana na mkuu wa majeshi ya ulinzi David
Mwamunyange wakati wa mahafali ya pili ya chuo cha jeshi NDC |
 |
MKUU WA JESHI LA POLISI MANGU AKIWA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MECK SADIK |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA WAKUU WA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKISALIMIANA NA ERNEST WAMBA DIA WAMBA |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIFURAHIA JAMBO PAMOJA NA DR BANA NA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA |
 |
WAHITIMUWA JESHI |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA NA WAHITIMU WA MAHAFALI |
 |
RAIS AKIWA NA WATU MBALIMBALI |
 |
WAHITIMU WA CHUO CHA JESHI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
 |
RAIS JAKAY KIKWETE AKIELEKEA KATIKA JUKWAA |
 |
RAIS AKIONGEA NA BAADHI YA MABALOZI |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIAGANA WAKUU WA JESHI LA ULINZI |
 |
RAIS JAKAY KIKWETE AKIELEKEA KATIKA JUKWAA |
 |
BAADHI YA WANAJESHI WAHITIMU KATIKA CHUO CHA JESHI WAKATI WA MAHAFALI YA PILI YA CHUO HICHO |
 |
BAADHI YA WANAJESHI WAHITIMU KATIKA CHUO CHA JESHI WAKATI WA MAHAFALI YA PILI YA CHUO HICHO |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWAAGA WAHITIMU WANAJESHI WA CHUO CHA JESHI LEO |
 |
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIFURAHI KITUPAMOJA NA WAGENI MBALIMBALI |