Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya
kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya
Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao
wamechoka na Maisha ya utumwa.Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.