LUIS SUAREZ SASA ASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI WENYE THAMINI KUBWA BARANI ULAYA, LAKINI LIONEL MESSI NI HATARI MNO...!
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/luis-suarez-sasa-ashika-nafasi-ya-tatu.html
Luis Suarez ameshika nafasi ya tatu
katika orodha ya wachezaji wenye thamani zaidi barani Ulaya kuelekea
majira ya usajili wa kiangazi na hii ni kutokana na ripoti mpya
zilizotolewa na kuchapishwa leo ambapo mshambuliaji huyo wa Liverpool
sasa ana thamani ya angalau kuanzia paundi milioni 79.
Lionel Messi wa Barcelona ndiye
anayeongoza kwa bei yake inayoanzia paundi milioni 161.6 na nyota wa
Real Madrid anashika nafasi ya pili na bei yake inaanzia puandi milioni
85, na hii imetokana na utafiti uliofanywa na Swiss-based expert ‘think
tank’.
Mchawi: Ronaldo alitajwa mshindi wa Ballon d'Or na alifurahia mafanikio ya UEFA