MSANII KALAPINA APATA TENDA YA KUSIMAMIA ULINZI NA USAFI KATIKA KITUO KIPYA CHA MABASI MAKUMBUSHO
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/msanii-kalapina-apata-tenda-ya.html
STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.
Siku ya jana Kalapina ameanzakutumikia tenda ya ulinzi na usafi katika kituo kipya cha Makumbusho, Jijini Dar es salaam, kituo ambacho kimechukua nafasi ya kituo cha mabasi cha Mwenge.