CHANZO CHA KIFO NASRA MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA MTOTO WA BOKSI CHABAINIKA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/chanzo-cha-kifo-nasra-mtoto.html
Kufuatia
kifo cha mtoto Nasra, almaarufu kama ‘mtoto wa boksi’, kuna kila dalili
kwamba kifo chake kimetokana na maradhi aliyoyapata wakati akiwa
anaishi kwenye boksi. Kwa
kuwa imethibitika kwamba mtoto alifariki kutokana na ugonjwa wa
pumu—kufuatia kufungiwa kwenye mazingira machafu, kutoogeshwa na kupigwa
na baridi masaa 24, na kwa kuwa wahusika waliokuwa wakimfanyia ukatili
huo tayari walishakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kula njama za
kumtesa mtoto huyo mdogo asiyekuwa na hatia na asiyeweza kujitetea,
mawakili wanaosimamia kesi hii watabadilisha masitaka ya kesi na kuwa
KESI YA MAUAJI YA KUKUSUDIA.