WACHINA TISA WALAZWA AGHA KHAN BAADA KUUGUA DENGUE
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/wachina-tisa-walazwa-agha-khan-baada.html
Muuguzi
katika kitengo cha magonjwa ya kuambukiza cha Aga Khan, Nyangee Lugoe
alisema hospitali hiyo ilianza kupokea wagonjwa tangu Machi mwaka huu na
kuanzia Aprili, raia wengi wa China wamegundulika kuwa na homa hiyo,
ingawa baadhi walitibiwa na kuruhusiwa.