RICKIE LAMBERT MBIONI KUREJEA LIVERPOOL BAADA YA KUPITA `MVUA` NYINGI TANGU AONDOKE
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/rickie-lambert-mbioni-kurejea-liverpool.html
Wanajivunia: Wazazi wa Lambert, Ray and Maureen, walimsaidia sana kijana enzi za utoto wake
| CLUB | YEARS | FEE | GAMES | GOALS |
|---|---|---|---|---|
| Blackpool | 1998-00 | Free | 3 | 0 |
| Macclesfield | 2001-02 | Free | 49 | 10 |
| Stockport | 2002-05 | £300,000 | 110 | 19 |
| Rochdale | 2005-06 | Free | 68 | 28 |
| Bristol Rovers | 2006-09 | £200,000 | 155 | 59 |
| Southampton | 2009 - | £1m | 235 | 117 |
| England | 2013- | N/A | 4 | 2 |
Kitendo cha kukataliwa na Liverpool
wakati wa ujana wake kilimchanganya Lambert kama alivyosema mwanzoni
mwa msimu uliopita: "Nilikuwepo Liverpool wakati nikiwa na miaka 10 hadi
15 na kimsingi niliambiwa siko vizuri, kiuhalisia ilikuwa ngumu
kuamini".
"Nilidhani ilikuwa mwisho wa dunia.
Lakini naweza kuwaambia watu waliopo katika hali kama ile kuwa sio
mwisho wa dunia. Inaweza kukufanya ukafanikiwa zaidi na zaidi".