MAN UNITED WAMWAGA PAUNDI MILIONI 20 KWA TONI KROOS BAADA YA VAN GAAL KUBARIKI, ARJEN ROBBEN AINGIA KWENYE RADA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/man-united-wamwaga-paundi-milioni-20.html
Robben ni mchezaji wa kwanza
kusajiliwa na Van Gaal wakati akiwa Bayern kwa ada ya uhamisho wa paundi
milioni 20 kutokea klabu ya Real Madrid mwaka 2009.
Siku za karibuni winga huyo mwenye
miaka 20 alisaini mkataba wa miaka mitatu na Bayern, lakini haimvunji
moyo Van Gaal ambaye atafanya kazi na Robben katika fainali za kombe la
dunia mwaka huu nchini Brazil.
Inafahamika kuwa United wamekubaliana dili la paundi milioni 27 ili kuinasa saini ya beki wa kushoto wa Southampton,
Luke Shaw na beki wa kati wa Borussia Dortmund, Mats Hummels yupo katika mipango ya Van Gaal.