MAIMARTHA AWA KIVUTIO DUKANI KWAKE
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/maimartha-awa-kivutio-dukani-kwake.html
Mtangazaji maarufu wa vipindi katika runinga, Maimartha Jesse amegeuka kivutio dukani kwake kwa kujiremba na kuvaa mawigi tofautitofauti ili kuwavuta wateja.
Mbali
na urembo, mtangazaji huyo amekuwa akiwaita majina wateja wake majina
ambayo hutumika siku hizi kuita wapenzi kama vile baby, mwenyewe anadai
kuwa ni lugha ya kuwakaribisha na kuwakarimu wateja.