ISCO HANA CHAKE KIKOSI CHA AWALI CHA HISPANIA KOMBE LA DUNIA, BUNDUKI ZOTE HIZI HAPA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/isco-hana-chake-kikosi-cha-awali-cha.html
KOCHA
wa timu ya taifa ya Hispania na mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Vicente
del Bosque ametanagaza kikosi cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya kombe la
dunia mwezi ujao nchini Brazil, lakini amewaacha hoi wengi baada ya kuwaacha
nyota wa Real Madrid Alvaro Arbeloa na Isco .
Isco
alihangaika kurudisha kiwango chake Real Madrid, lakini haijamsaidia, wakati
kwa Arbeloa nafasi yake imechukuliwa na Dani Carvajal.
Wakati
huo huo, Iker Casillas licha ya kucheza mechi chake akiwa na Real Madrid
ametajwa katika kikosi hicho.
Pia
Thiago Alcantara na Fernando Llorente wote wamejumuishwa.
Maajabu
mengine ni kujumuishwa kwa Alberto Moreno, Ander Iturraspe na Koke.
Del
Bosque will announce his final squad on May 25.
Spain
meet Netherlands, Chile and Australia in Group B at the World Cup.
KIKOSI
KIZIMA:Walinda mlango: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United)
Mabeki: Dani Carvajal, Sergio Ramos (Real Madrid), Juanfran (Atletico Madrid), Raul Albiol (Napoli), Javi Martinez (Bayern Munich), Alberto Moreno (Sevilla), Jordi Alba, Gerard Pique (Barcelona), Cesar Azpilicueta (Chelsea)
Viungo: Andres Iniesta, Cesc Fabregas, Sergio Busquets, Xavi (Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Juan Mata (Manchester United), David Silva (Manchester City), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Ander Iturraspe (Athletic Bilbao), Koke (Atletico Madrid), Xabi Alonso (Real Madrid)
Washambuliaji: Diego Costa, David Villa (Atletico Madrid), Alvaro Negredo, Jesus Navas (Manchester City), Fernando Torres (Chelsea), Fernando Llorente (Juventus), Pedro (Barcelona)