DIAMOND PLATNUMZ AMEPANDA GHARAMA, SOMA HAPA KUFAHAMU
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/diamond-platnumz-amepanda-gharama-soma.html
Diamond
Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya
wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji
yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie
usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia
milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata
ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo
fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi
umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe
umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi
ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe
umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo
Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na
vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe,
kama
(U-ghari
wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa
kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama
video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx
ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj
awalipe )
Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.