BREAKING NEWZZZZ! GEOFREY NYANGE KABURU NA MZEE KINESI WACHUKUA FOMU KUGOMBEA UMAKAMU WA RAIS SIMBA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/breaking-newzzzz-geofrey-nyange-kaburu.html
Homa ya uchaguzi mkuu wa Simba inazidi kupanda, baada ya Evans Aveva na Micheal Wambura kuchukua fomu za kugombea urais wa klabu ya Simba SC, leo wanachama maarufu wa klabu hiyo Godfrey Nyange Kaburu na Joseph Itang’are maarufu kama Mzee Kinesi nao wamechukua fomu za kugombea umakamu wa rais wa klabu hiyo.
Kaburu na Mzee Kinesi wote waliwahi kushika nafasi za juu kwenye
uongozi uliopita wa Simba, lakini sasa wanaenda kwenye uchaguzi ujao wa
Simba kuamua nani atakuwa makamu wa kwanza kabisa wa klabu hiyo.