Flatnews

Alikiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe

Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Cl...


Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake.
Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.

Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine
wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo,” alisema.
“Lakini kuna baadhi pia ya watanzania wapo makini sana, huwa hawakubali kitu kirahisi na kuna wengine ni wepesi sana kuamini. Na hizi kiki zinakuja kwasababu watu wanaamini. Mimi binafsi sitaki kabisa hivyo vitu na sitokuja kufanya na kama kuna watu wanafanya hivyo vitu mimo nimewaambia unajua kila mtu ana identity yake kwamba hawa ni watu wa aina hii na hawa ni hii.”
Ukiongea kitu mtu mwenye akili zake timamu anajua kabisa hii si kweli na Alikiba hawezi kufanya hivyo. Ila huyu anaweza kufanya hivyo na huyu hawezi kufanya hivyo ila Alikiba anaweza fanya hivyo,” alisisitiza.

Related

ENTERTAINMENT 550672333654747405

Post a Comment

emo-but-icon

item