Flatnews

Ramsey arudi kwenye kikosi cha Arsenal, Perez nje wiki 8

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kuwa kiungo wake Aaron Ramsey atakuwepo katika kikosi chake cha kesho kitakachochez...


Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kuwa kiungo wake Aaron Ramsey atakuwepo katika kikosi chake cha kesho kitakachocheza dhidi ya Sunderland ugenini.
Ramsey ,25 amekuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili kufuatia kupata maumivu ya nyama za paja katika mechi dhidi ya Liverpool August,14.

Huku mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania aliyesajiliwa kutoka Deportivo La Coruna Lucas Perez atakuwa nje ya uwanja kwa wiki nane baada ya kupata jeraha la enka katika mechi ya EFL Cup dhidi ya Reading.
Arsenal’s Lucas Perez leaves the pitch injured during the Reading game

Post a Comment

emo-but-icon

item