WAZIRI MKUU PINDA KUTANA NA WANANCHI WA MLELE
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifafanua jambo kwa kutumia kompyuta ndogo (Ipad) wakati alipozungumza na wanafamilia wa Mzee Katin...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/waziri-mkuu-pinda-kutana-na-wananchi-wa.html
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akifafanua jambo kwa
kutumia kompyuta ndogo (Ipad) wakati
alipozungumza na wanafamilia wa Mzee
Katinda wa kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi
nyumbani kwake Kibaoni, Katavi julai 22,
2015.
Watoto
wa familia ya mzee Katinda
wa Kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele wakicheza ngoma ya Kisukuma mbele ya Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda . Mheshiiwa Pinda yuko
katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni, katavi.
7027 Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisalimiana na
wasichana wa Kisukuma nyumbani
kwa Mzee Katinda kwenye kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele
akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake Kibaoni, Katavi Juai 22, 2015. 
Mke wa
Waziri Mama Tunu Pinda akiwaonyesha
picha mbalimbali alizopiga vijana wa kabila la Kisukuma aliokutana nao nyumbani
kwa Mzee Katinda katika kitongoji cha
Tupindo wilayani Mlele ambako yeye na
Waziri Mkuu Mizengo Pinda wako katika mapumziko mafupi kijijini Kibaoni. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)