TBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi ...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/tbl-yatoa-sh-mil-124-kudhamini-wiki-ya.html
Meneja
Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma
Oriyo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama
Barabarani, DCP, Mohamed Mpinga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh.
milioni 124, 6. za kudhamini upimaji wa afya za madereva wa masafa
marefu nchini na kugharamia mafunzo kwa waendesha Bodaboda 300 wa Mkoa
wa Tanga, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
itakayofanyika mkoani Tanga Agosti 3-7 mwaka huu. Kushoto ni Mnadhimu
Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, .Hafla hiyo ilifanyika Dar es
Salaam.
Meneja
Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma
Oriyo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama
Barabarani, DCP, Mohamed Mpinga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh.
milioni 124.6, za kudhamini upimaji wa afya za madereva wa masafa marefu
nchini na kugharamia mafunzo kwa waendesha Bodaboda 300 wa Mkoa wa
Tanga, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama itakayofanyika
mkoani Tanga Agosti 3-7 mwaka huu. Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi
cha Usalama barabarani, Johansen Kahatano.Hafla hiyo ilifanyika Dar es
Salaam.
Kamanda Mpinga akitoa shukrani kwa TBL kwa udhamini huo. Kulia ni Emma Oriyo wa TBL
Baadhi ya maofisa wa Trafiki wakishuhudia makabidhiano hayo
Kamanda Mpinga akimshukuru Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa TBL, Emma Oriyo kwa udhamini huo wa TBL.