Mapenzi Yamerogwa: Wema Sepetu Pale Kati.....Akitaka Kutolewa Roho na Mboto!
Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa , iliyowajumuisha waigizaji wakali kama Wema Sepetu, ...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/03/mapenzi-yamerogwa-wema-sepetu-pale.html
Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa, iliyowajumuisha waigizaji wakali kama Wema Sepetu, Mboto, Hemmed PHD, Riyama na Aunty Ezekiel inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 23 mwezi huu.

Haya jamani kazi mpya hiyo inakuja,tuipokee kwa mikono miwili.